Ugonjwa wa kuzidi kwa Acid ya Reflux, Visababishi, Dalili na Madhara
Ugonjwa wa reflux wa gastroesophageal au ugonjwa wa reflux wa gastro-oesophageal ni ugonjwa sugu wa njia ya juu ya utumbo ambapo maudhui ya tumbo mara kwa mara hutiririka hadi kwenye umio, na kusababisha dalili na matatizo.
๐๐๐๐ ๐ฅ๐๐๐๐จ๐ซ-๐จ๐๐ข๐ก๐๐ช๐ ๐ช๐ ๐๐จ๐ญ๐๐๐ ๐๐ช๐ ๐๐ฆ๐๐๐ ๐ฅ๐๐๐๐๐ซ:
Kuzidi kwa asidi reflux (Asid reflux ya tumbo kurudi juu kwenye umio mara kwa mara) kunaweza kuleta madhara makubwa mwilini endapo haitadhibitiwa au kutibiwa kwa haraka.
๐๐๐๐๐๐ ๐ฌ๐ ๐๐๐๐๐๐จ ๐ญ๐ ๐๐จ๐ฃ๐๐ง๐ ๐จ๐๐ข๐ก๐๐ช๐ ๐ช๐ ๐๐ฆ๐๐ ๐ฅ๐๐๐๐จ๐ซ:
Mabadiliko ya homoni kama vile testosterone kwa wanaume, estrogen kwa wanawake na wanaume pamoja na tezi za thyroid.
- Mabadiliko ya homoni pamoja na kushuka kwa utendaji kazi wa tezi mbali mbali zinazo zalisha homoni au kemikali zinazo simamia ukuaji na mabadiliko ya kimwili pindi homoni izo zinapo zidi au kupungua kushuka kiasi, husababisha madhara makubwa sana mbali na maswala ya uzazi lakini pia husababisha mabadiliko ya asidi kwenye damu.
Magonjwa ya ini ya muda mlefu yasiyo tibiwa, kama vile Hepatitis na Fatty liver disease ugonjwa wa ini wa mafuta.
Kupanda au kushuka zaidi kwa viwango vya enzymes yani vimengโenya vya ini kama ๐๐๐ง ๐ป๐ฎ ๐๐ฆ๐ง.
Vidonda sugu vya tumbo ambavyo maranyingi sana husababishwa na uwepo wa baktaria wa ๐.๐ฃ๐ฌ๐๐ข๐ฅ๐ pamoja na wingi wa asidi ya hydrochloride tumboni
Magonjwa ya figo ya muda mlefu yasiyo tibiwa au kudhibitiwa.
- Ugonjwa wa kisukari na presha ya damu au shinikizo la damu
๐๐๐๐๐๐ ๐ฌ๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐ญ๐ ๐จ๐๐ข๐ก๐๐ช๐ ๐ช๐ ๐๐จ๐ญ๐๐๐ ๐๐ช๐ ๐๐ฆ๐๐ ๐ฅ๐๐๐๐จ๐ซ:
Vichomi vya mara kwa mara tumboni au kifuani.
Miguu kuwaka moto na kuuma.
Kuhisi ganzi na tumbo kujaa gesi.
Maumivu ya kifua (yanayofanana na ya moyo, lakini hutokana na asidi).
Kuchomachoma kifuani (heartburn) kiungulia cha mara kwa mara.
Kuhisi chakula kinapanda juu (regurgitation).
Kukohoa hasa usiku, sauti kubadilika au kuwa nzito.
- Kuvimba koo na hisia ya โkuna kitu kimekwamaโ.
๐๐๐๐๐๐ ๐ฌ๐ ๐ ๐๐๐๐๐ฅ๐ ๐ฌ๐ ๐จ๐๐ข๐ก๐๐ช๐ ๐ช๐ ๐๐จ๐ญ๐๐๐ ๐๐ช๐ ๐๐ฆ๐๐ ๐ฅ๐๐๐๐จ๐ซ:
Hizi ni baadhi za ugonjwa wa kuzidi kwa asid reflux mwilini au kwenye damu.
๐๐๐ฐ๐ต๐ผ๐ฐ๐ต๐ฒ๐ฎ ๐ธ๐๐ฎ ๐๐ต๐ฎ๐ฟ๐ถ๐ฏ๐ถ๐ณ๐ ๐๐ฎ ๐ถ๐ป๐ถ, ๐บ๐ถ๐๐ต๐ถ๐ฝ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ฑ๐ฎ๐บ๐ ๐ฎ๐ ๐ป๐ฒ๐๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐ณ๐ถ๐ด๐ผ.
Kama mtu anakuwa tayari anatatizo la ini, figo au presha, basi kupitia hali ya kuzidi kwa viwango vya asidi kwenye damu, huchochea hali ya viungo ivyo kuendelea kuharibika zaidi.
๐๐๐๐บ๐ถ๐ฎ ๐ธ๐๐ฎ ๐๐บ๐ถ๐ผ (๐ฒ๐๐ผ๐ฝ๐ต๐ฎ๐ด๐ถ๐๐ถ๐)
Asidi huunguza ukuta wa umio na kuleta vidonda, maumivu na vidonda vya ndani.
๐๐๐ฏ๐ฎ๐ป๐๐ฎ ๐ธ๐๐ฎ ๐๐บ๐ถ๐ผ (๐ฒ๐๐ผ๐ฝ๐ต๐ฎ๐ด๐ฒ๐ฎ๐น ๐๐๐ฟ๐ถ๐ฐ๐๐๐ฟ๐ฒ):
Maumivu ya muda mrefu huleta kovu na kufanya umio kuwa mwembamba, mgonjwa hushindwa kumeza vizuri.
๐ฆ๐ฎ๐ฟ๐ฎ๐๐ฎ๐ป๐ถ ๐๐ฎ ๐๐บ๐ถ๐ผ (๐๐ฎ๐ฟ๐ฟ๐ฒ๐๐โ๐ ๐ฒ๐๐ผ๐ฝ๐ต๐ฎ๐ด๐๐ โ ๐๐๐ผ๐ฝ๐ต๐ฎ๐ด๐ฒ๐ฎ๐น ๐ฐ๐ฎ๐ป๐ฐ๐ฒ๐ฟ):
Reflux sugu inaweza kubadilisha seli za ukuta wa umio na kuongeza hatari ya kupata saratani.
๐ ๐ฎ๐ด๐ผ๐ป๐ท๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ฝ๐ฎ๐ณ๐ ๐ก๐ฎ ๐บ๐ณ๐๐บ๐ผ ๐๐ฎ ๐๐ฝ๐๐บ๐๐ฎ๐ท๐ถ:
Asidi ikipanda juu inaweza kuingia kwenye njia ya hewa, na kusababisha asthma yani pumu, bronchitis sugu au nimonia.
๐๐๐ธ๐ผ๐๐ฎ ๐๐๐ถ๐ป๐ด๐ถ๐๐ถ ๐ป๐ฎ ๐ธ๐๐ฐ๐ต๐ผ๐ธ๐ฎ ๐๐๐ฝ๐ถ๐๐ฎ ๐ธ๐ถ๐ฎ๐๐ถ:
Dalili zikiwa nyingi hasa usiku, mgonjwa hukosa usingizi na kuchoka mara kwa mara.
๐ก๐ข๐ง๐: Kuzidi kwa asid reflux mara nyingi huhusiana na ๐๐ถ๐ฑ๐ผ๐ป๐ฑ๐ฎ ๐๐๐ฎ ๐บ๐๐ฑ๐ฎ ๐บ๐น๐ฒ๐ณ๐ ๐๐๐ฎ ๐๐๐บ๐ฏ๐ผ, ๐๐๐ฎ๐ธ๐๐น๐ฎ ๐๐๐ฒ๐ป๐๐ฒ ๐๐๐ธ๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐ป๐๐ถ๐ป๐ด๐ถ, ๐บ๐ฎ๐ณ๐๐๐ฎ ๐บ๐ฒ๐ป๐ด๐ถ, ๐ฝ๐ผ๐บ๐ฏ๐ฒ, ๐๐๐๐๐ฎ๐ท๐ถ ๐๐ถ๐ด๐ฎ๐ฟ๐ฎ, ๐๐ป๐ฒ๐ป๐ฒ ๐ธ๐๐ฝ๐ถ๐๐ฎ ๐ธ๐ถ๐ฎ๐๐ถ, ๐ฎ๐ ๐ธ๐๐น๐ฎ๐น๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ฟ๐ฎ ๐บ๐ผ๐ท๐ฎ ๐ฏ๐ฎ๐ฎ๐ฑ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐น๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ด๐ผ๐ป๐ท๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐ถ๐ป๐ถ ๐ป๐ฎ ๐ณ๐ถ๐ด๐ผ.
๐๐จ๐ ๐๐จ๐๐:- Ni muhimu kufuatilia afya yako kwa kufanya vipimo vya mara kwa mara na kuyafikia matibabu ya mapema pale tatizo linapo bainika, kwani kila sekunde ni muhimu katika kuokoa maisha na kuepuka madhara ya kudumu.
๐๐ฎ๐ฟ๐ถ๐ฏ๐ ๐๐๐ธ๐๐ต๐๐ฑ๐๐บ๐ถ๐ฒ ๐ธ๐๐ฎ ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ๐บ๐ผ๐๐ผ ๐๐ฎ ๐ฎ๐ณ๐๐ฎ ๐๐๐ป๐ฎ๐๐ผ๐ฎ ๐ต๐๐ฑ๐๐บ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ฉ๐๐ฃ๐๐ ๐ข, ๐ ๐๐ง๐๐๐๐๐จ, ๐๐๐๐ก๐๐ข ๐ก๐ ๐จ๐ฆ๐๐๐จ๐ฅ๐: