Matibabu ya homa ya ini, Vipimo, Ushauri na Chanjo ya homa ya ini
Kila saratani, inatibika iwapo tu matibabu ya mapema, vipimo na ufuatliwaji wa karibu kwa wagonjwa vitazingatiwa
𝗠𝗨𝗗𝗔 𝗦𝗔𝗛𝗜𝗛𝗜 𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗧𝗜𝗕𝗔𝗕𝗨 𝗬𝗔 𝗛𝗢𝗠𝗔 𝗬𝗔 𝗜𝗡𝗜 𝗕 𝗡𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗡𝗝𝗢:
Katika matibabu, kwa wagonjwa walio na nafasi kubwa ya kumaliza tatizo (Kupona kabisa) ni wagonjwa wale ambao bado hawajaanza kuona dalili yoyote au wanapitia dalili ndogo ndogo zinazo kuja na kupotea katika maisha yao.
Wagonjwa hawa maranyingi sana huudhulia dozi ya siku 60 hadi 90 kumaliza tatizo au kuklia maambukizi na mgonjwa kuweza kuifikia huduma ya dozi ya chanjo.
𝗨𝗙𝗔𝗡𝗜𝗦𝗜 𝗪𝗔 𝗗𝗔𝗪𝗔 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗞𝗨𝗧𝗢𝗔 𝗦𝗨𝗟𝗨𝗛𝗜𝗦𝗛𝗢 𝗟𝗔 𝗞𝗜𝗧𝗔𝗕𝗜𝗕𝗨 𝗞𝗪𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗡𝗚𝗔𝗠𝗢𝗧𝗢 𝗭𝗔 𝗛𝗢𝗠𝗔 𝗬𝗔 𝗜𝗡𝗜 𝗕
Dawa hufanya kazi mbali mbali katika kutoa suluhisho la kitabibu kama vile:
kuimarisha mfumo wa kinga
kuklia maambukizi kwenye mfumo wa damu DNA ya binadamu
kuondoa au kuzuiya inflammation ya ini (uvimbe wa ini)
Kuondoa sumu na protini za ziada kwenye damu na seli kinga.
kurejesha seli za kinga zilizo kufa au kuchaa.
kuondoa scar tissues yani makovu kwenye ini yaliyo sababishwa na uwepo wa maambukizi kwa muda mlefu pasipo kutibiwa
kuzuiya uzalishwajk wa seli za saratani ya ini
kuimarisha mfumo wa usagaji chakula na vimeng’enya
kuongeza hamu ya kula kwa mgonjwa na mwoneka o ang'avu wa ngozi
kumuwezesha mgonjwa asiweze kuambukiza wengine
- Uimarishaji wa afya ya ini katika utendaji kazi wake kwa ujumla.
Matibabu ya saratani ya ini hufanyika hasa kwa wagonjwa wa ini walio kuwa katika hatua za awali yani liver inflammation na liver fibrosis stage
𝗕𝗔𝗔𝗗𝗛𝗜 𝗬𝗔 𝗗𝗔𝗟𝗜𝗟𝗜 𝗭𝗔 𝗔𝗪𝗔𝗟𝗜 𝗭𝗔 𝗛𝗢𝗠𝗔 𝗬𝗔 𝗜𝗡𝗜 𝗕:
Hatua izo wagonjwa wengi hawaonyeshi dalili yoyote lakini pia wapo baadhi ya wagonjwa wakiwa katika hatua izo wanaweza kuonyesha dalili ndogo ndogo zinazo kuja na kupotea kama vile:
Uchovu wa mara kwa mara
Maumivu ya misuli na viungo
Kukojoa mkojo wenye rangi ya njano iliyo kolea
kichefuchefu na muda mwingine hata kutapika
Kupoteza hamu ya kula
Tumbo kujaa gesi, vidonda vya tumbo na kuhisi vichomi au kiungulia
Miwasho ya ngozi hasa jioni
- Maumivu ya tumbo upande wa kulia chini ya mbavu.
𝗠𝗔𝗧𝗜𝗕𝗔𝗕𝗨 𝗞𝗪𝗔 𝗛𝗔𝗧𝗨𝗔 𝗬𝗔 𝗞𝗪𝗔𝗡𝗭𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗔𝗠𝗕𝗨𝗞𝗜𝗭𝗜 𝗡𝗔 𝗛𝗔𝗧𝗨𝗔 𝗬𝗔 𝗣𝗜𝗟𝗜:
Matibabu hufanyika kwa dawa za antiviral ya hepatitis B yani 𝗛𝗕𝗩 𝗔𝗡𝗧𝗜𝗩𝗜𝗥𝗔𝗟 pamoja na dawa za kuimarisha afya ya ini na mfumo wa kinga ambapo mgonjwa kwa mwezi mmoja yani siku 30 hutumia dozi ya vidonde ya hbv yenye jumla ya chupa 2, kimaliza dizi hii mgonjwa anapaswa kufanya checkup ya vipimo vya surface antigen kabla ya kuendelea na dozi ya pili.
Kwasababu wapo baadhi ya wagonjwa hupona kwa dozi ya siku 30, siku 60, siku 90 na wapo baadhi yao hawaponi kabisa.
na utofauti huu wa muda wa kupona maranyingi sana husababishwa na ukubwa wa tatizo la mgonjwa lilipo fikia na afya ya mgonjwa kwa ujumla.
𝗛𝗔𝗧𝗨𝗔 𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗧𝗨, 𝗛𝗔𝗧𝗨𝗔 𝗬𝗔 𝗡𝗡𝗘 𝗡𝗔 𝗛𝗔𝗧𝗨𝗔 𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗡𝗢 𝗬𝗔 𝗛𝗢𝗠𝗔 𝗬𝗔 𝗜𝗡𝗜:
Kwa mfano kwa wagonjwa walio katika hatua ya tatu, hatua ya nne ya homa ya ini pamoja na hatua ya tano yani 𝘀𝗮𝗿𝗮𝘁𝗮𝗻𝗶 𝘆𝗮 𝗶𝗻𝗶 𝘆𝗮𝗻𝗶 (𝗵𝗲𝗽𝗮𝘁𝗼𝗰𝗲𝗹𝗹𝘂𝗹𝗮𝗿 𝗰𝗮𝗿𝗰𝗶𝗻𝗼𝗺𝗮), 𝗸𝗼𝘃𝘂 𝗹𝗮 𝗶𝗻𝗶 (𝗹𝗶𝘃𝗲𝗿 𝗰𝗶𝗿𝗿𝗵𝗼𝘀𝗶𝘀) 𝗻𝗮 𝗹𝗶𝘃𝗲𝗿 𝗳𝗮𝗶𝗹𝘂𝗿𝗲
𝗠𝗔𝗧𝗜𝗕𝗔𝗕𝗨 𝗞𝗪𝗔 𝗛𝗔𝗧𝗨𝗔 𝗛𝗜𝗭𝗜 𝗭𝗔 𝗨𝗚𝗢𝗡𝗝𝗪𝗔 𝗪𝗔 𝗜𝗡𝗜:
Katika hatua hizi mbili wagonjwa wengi hupitia dalili hatarishi ambazo zinaweza kuhitaji matibabu ya dharula katika kunusuru maisha ya mgonjwa , mfano wa dalili wanazo pitia wagonjwa wa ini walio katika hatua hizi tatu za mwisho.
𝗕𝗔𝗔𝗗𝗛𝗜 𝗬𝗔 𝗗𝗔𝗟𝗜𝗟𝗜 𝗛𝗔𝗧𝗔𝗥𝗜𝗦𝗛𝗜 𝗭𝗔 𝗛𝗢𝗠𝗔 𝗬𝗔 𝗜𝗡𝗜 𝗜𝗞𝗜𝗪𝗔 𝗛𝗔𝗧𝗨𝗔 𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗧𝗨 𝗡𝗔 𝗛𝗔𝗧𝗨𝗔 𝗬𝗔 𝗡𝗡𝗡𝗘.
Kukojoa mkojo wenye rangi ya kahawia yani Coca-Cola
Tumbo kujaa maji kuvimba kwa tumbo (asciets) na miguu
Kukonda na kupungua uzito kupita kiasi
Maumivu ya mara kwa mara ya tumbo upande wa kulia chini ya mbavu
Macho na ngozi kuwa na rangi ya njano muda wote
Kutapika na kupoteza kabisa hamu ya kula
kupungukiwa na damu kutokana na upungufu wa virutubisho muhimu nwilini kama vile protini, cabohydrate, oksijeni na fatts na kuharibika kwa seli nyekundu za damu.
Kuishiwa nywele na kupitia hali ya miwasho sugu mwili mnzima
- kuharisha kinyesi chenye mfano wa chakula kama kilivyo liwa yani cheupe
Katika hatua izo tatu za mwisho hakuna matibabu ya moja kwa moja katika kumaliza tatizo, bali mgonjwa anaweza kupatiwa matibabu ya dharula kama vile kuwekewa drip ya maji hospitalini, na dawa za kumpatia unafuu
Lakini pia kwa wagonjwa wengine wanaweza kwenda India kufanya liver transplant (kupandikiza ini jipya).
Karibu kwa huduma ya vipimo, ushauri, matibabu na chanjo ya homa ya ini B.
Kwa maelezo zaidi kuhusu homa ya ini, vipimo, chanjo na matibabu, unaweza kufika hapa kituoni kwakuweka appointiment kwakupiga simu au kutuna ujumbe mfupi wa maandishi kupitia WhatsApp +255628361104 au jaza fomu iliyopo katika tovuti kuweka doa ya dawa na kuagiza: