Saratani ya mapafu, Kansa ya mapafu - Dalili na matibabu
Saratani ya mapafu ni aina ya saratani ambayo huanza wakati seli zisizo za kawaida zinakua kwa njia isiyodhibitiwa kwenye mapafu. ??Ni suala kubwa la kiafya ambalo linaweza kusababisha madhara makubwa na kifo kwa mgonjwa.
𝗦𝗔𝗥𝗔𝗧𝗔𝗡𝗜 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗣𝗔𝗙𝗨, 𝗞𝗔𝗡𝗦𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗣𝗔𝗙𝗨:
Ni suala kubwa la kiafya ambalo linaweza kusababisha madhara makubwa na kifo kwa mgonjwa.
𝗩𝗜𝗦𝗔𝗕𝗔𝗕𝗜𝗦𝗛𝗜 𝗩𝗜𝗞𝗨𝗨 𝗩𝗬𝗔 𝗞𝗔𝗡𝗦𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗣𝗔𝗙𝗨:
- Moshi wa tumbaku ndio chanzo kikuu cha saratani ya mapafu.
- Kazi za migodini (wachimba madini)
- Kazi za uwalimu (Vumbi la chaki)
- Kunywa pombe kupita kiasi.
- Magonjwa ya ini na figo husababisha mapafu kujaa maji.
- Ugonjwa wa pumu
- Ulaji wa nyama nyekundu kupita kiasi
𝗕𝗔𝗔𝗗𝗛𝗜 𝗬𝗔 𝗗𝗔𝗟𝗜𝗟𝗞 𝗭𝗔 𝗦𝗔𝗥𝗔𝗧𝗔𝗡𝗜 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗣𝗔𝗙𝗨:
Dalili za saratani ya mapafu ni pamoja na
- kikohozi kisichoisha,
- Maumivu ya kifua na upungufu wa kupumua.
- Kukoa damu au kupata kikohozi kigumu.
- Kupumua kwa shida na kutoa sauti ya filimbi.
- kukonda na kupungukiwa uzito
- Miguu kuvimba au kujaa maji
- Kupata saratani ya ubongo.
- Kupata ganzi za mara kwa mara zisizo isha.
- Muguu kuuma na kuwaka moto pamoja na ganzi.
- Ngozi kuwasha kupita kiasi.
- Kupoteza hamu ya kula.
▪️Ni muhimu kupata huduma ya matibabu mapema ili kuepuka madhara makubwa ya afya.
▪️Matibabu hutegemea historia ya ugonjwa na hatua ya ugonjwa huo ulipo fikia.
Aina za kawaida za saratani ya mapafu ni
▪️Saratani ya seli kubwa (NSCLC).
▪️Saratani ya seli ndogo (SCLC).
Saratani ya seli kubwa yani (NSCLC ) ni saratani ya kawaida zaidi na hukua polepole,
Wakati SCLC haipatikani sana lakini mara nyingi hukua haraka sana na kusababisha kifo cha mapema kwa mgonjwa.
KUMBUKA:- Ni muhimu kufuatilia afya yako kwa kufanya vipimo vya mara kwa mara na kuyafikia matibabu ya mapema pale tatizo linapo bainika, kwani kila sekunde ni muhimu katika kuokoa maisha na kuepuka madhara ya kudumu.
Karibu tukuhudumie, kwa changamoto za afya, tunatoa huduma za VIPIMO, MATIBABU, USHAURI na CHANJO