Matibabu na ufanisi wa dawa katika kumaliza tatizo
Matibabu sahihi ya kumaliza tatizo na kutoa suluhisho la kudumu, hutegemea na ufanisi wa dawa katika kutoa suluhisho.
Kwa mara ya kwanza kirus anapo ingia mwilini kupitia mfumo wa chembe chembe hai za damu, kirusi au virus huingia moja kwa moja katika seli zetu baada ya kuingia kirusi anauwezo wa kubadilisha DNA zetu ndani ya seli na kutengeneza DNA zao ambazo hizi hutumika kama chombo cha wao kuishi, chombo hufahamika kama 𝗖𝗼𝘃𝗮𝗹𝗲𝗻𝘁𝗹𝘆 𝗖𝗶𝗿𝗰𝘂𝗹𝗮𝗿 𝗗𝗡𝗔 (𝗰𝗰𝗰𝗗𝗡𝗔).
Katika chombo iko kirus ni ngumu kutoka kwa dawa za kawaida, kinga dhaifu au lishe peke yake, kirus anaendela kudumu kwa miaka mingu na kusababisha madhara makubwa na ya kudumu kama vile
Uvimbe kwenye viungo vya ndani kama figo, ini, bandama, utumbo na ubongo.
- Saratani au kansa kama vile Hepatocellular carcinoma saratani ya ini
Katika matibabu lazima pawe na ubunifu wa kipekee wa dawa madhubuti, katika kuvunja ngome cccDNA na kuweza kumuondoa katika mfumo wa seli na kupandisha kinga ili kumuangamiza kama kiumbe huru alie nje ya mfumo wa seli asiye na makazi au Mpevu.
Saratani inatibika pindi tu matibabu ya mapema yatakapo chukuliwa hatua.
Kwa huduma zaidi ya vipimo, chanjo na matibabu, unaweza kufika hapa kituoni kwakuweka appointiment kupitia website kwakujaza fomu inayo tokea mbele yako, kupiga simu au kutuna ujumbe mfupi wa maandishi kupitia WhatsApp +255628361104: