Helicobacter Pylori - Bakteria hatarishi wa vidonda vya tumbo na saratani ya utumbo mpana (Colon cancer)
Bakteria wa helicobacto Pylori, namna wanavyo enezwa, visababishi, dalili, madhara na matibabu
HATARI YA BAKTERIA WA H.PYLORI (HELICOBACTOR PYLORI) NA VIDONDA VYA TUMBO
Bakteria wa H. pylori (jina kamili Helicobacter pylori) ni aina ya bakteria wanaoishi kwenye utando wa ndani ya tumbo la binadamu na sehemu ya juu ya utumbo mdogo (duodenum).
Mambo muhimu kuhusu H. pylori
1. Umbo na asili yake
Ni bakteria wenye umbo la ond (spiral-shaped).
Bakteria hawa wana vinyweleo vidogo (flagella) vinavyowasaidia kusogea kwenye ute (mucus) unaofunika tumbo.
2. Maeneo wanayoishi
Wanaishi kwenye ute wa ndani ya tumbo, sehemu yenye asidi kali, lakini wanajikinga kwa kutengeneza kemikali inayoitwa urease ambayo hubadilisha asidi kuwa mazingira yenye usawa zaidi kwao kuishi.
3. Jinsi mtu anavyo ambukizwa
Kupitia chakula au maji yaliyochafuliwa.
Kupitia mate, au vyombo vya chakula vilivyochafuliwa.
- Mara nyingi huambukizwa utotoni, na maambukizi hudumu bila dalili kwa miaka mingi.
4. Magonjwa yanayohusiana na H. pylori
- Vidonda vya tumbo (peptic ulcers).
Vidonda vya duodenum.
Gastritis (uvimbe wa tumbo).
Vinapo dumu kwa muda mrefu kuathiri zaidi mfumo wa chakula na kusababisha gesi.
Bakteria wa H.pylori wanao dumu kwa muda mrefu hupelekwa kuongeza hatari ya saratani ya tumbo kwa baadhi ya watu.
- Husababisha saratani ya ini
5. Dalili za maambukizi (sio kila mtu hupata dalili)
- Maumivu ya tumbo, hasa tumbo likiwa tupu.
Tumbo kujaa gesi mara kwa mara au kuvimba.
Kichefuchefu kikali
Kukosa hamu ya kula.
- Kutoa gesi nyingi na kiungulia.
6. Vipimo vya kugundua
Kipimo cha kupima pumzi (urea breath test).
- Kipimo cha kinyesi (stool antigen test).
Kipimo cha damu cha kingamwili (H. pylori antibody test).
- Endoscopy na biopsy ya tumbo.
7. Matibabu
Hutibiwa kwa mchanganyiko wa dawa mbili za antibiotic + dawa ya kupunguza na kuondoa asidi ya tumbo, kwa muda wa siku 14 hadi siku 30.
Mfano wa matibabu: Contirelax Therapy na Detoxsoya therapy.
Helicobacter Pylori na vidonda vya tumbo
Vidonda vya tumbo (kwa Kiingereza: "gastritis") ni miongoni mwa magonjwa ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula katika mwili wa binadamu.
Huo ni ugonjwa unaowasumbua watu wengi sana duniani na huwapata sanasana watu wazima kuliko watoto wadogo.
Ikiwa kidonda kinatoa damu, unaweza kuona damu nyekundu au damu ilyovilia (damu nyeusi) kwenye kinyesi.
Kutokwa damu kunaweza kuambatanishwa na uchovu na kukosa nguvu.
Kama kidonda cha tumbo kinasababisha shimo kwenye utumbo, hii inaweza kusababisha, mgonjwa anaweza kuhisi hali kama hizi
Maumivu ya ghafla ya tumbo
Homa kali
Kichefuchefu kikali na kutapika
Muda mwengine mgonjwa anaweza kuzimia.
Ugonjwa wa vidonda vya tumbo hutokea zaidi kwa watu wazima. Visa vingi husababishwa na maambukizi ya bakteria aina ya Helicobater pylori.
Sababu zingine za vidonda vya tumbo ni
Matumizi makubwa ya dawa dhidi ya inflamesheni (kama vile aspirin)
Unywaji mwingi wa pombe kwa muda mrefu
Uvutaji wa sigara
Ulaji mkubwa wa nyama nyekundu
- Msongo mkubwa wa mawazo
Kama unahitaji ushauri zaidi na matibabu, tunaweza kukutengenezea mpangilio wa matibabu kamili na salama katika kuondoa bakteria wa H. pylori na kutibu vidonda vya tumbo, unaotumika katika hospitali nyingi za kisasa, pamoja na muda wake na masharti ya kufuata ili kupona vizuri, karibu kwa huduma.
Unaweza kuwasiliana nasi moja kwa moja kwakupiga simu au kutuna ujumbe mfupi wa maandishi kupitia +255628361104 +255746484873
𝗞𝗨𝗠𝗕𝗨𝗞𝗔:- Ni muhimu kufuatilia afya yako kwa kufanya vipimo vya mara kwa mara na kuyafikia matibabu ya mapema pale tatizo linapo bainika, kwani kila sekunde ni muhimu katika kuokoa maisha na kuepuka madhara ya kudumu.
𝗞𝗮𝗿𝗶𝗯𝘂 𝘁𝘂𝗸𝘂𝗵𝘂𝗱𝘂𝗺𝗶𝗲 𝗸𝘄𝗮 𝗰𝗵𝗮𝗻𝗴𝗮𝗺𝗼𝘁𝗼 𝘇𝗮 𝗮𝗳𝘆𝗮 𝘁𝘂𝗻𝗮𝘁𝗼𝗮 𝗵𝘂𝗱𝘂𝗺𝗮 𝘆𝗮 𝗩𝗜𝗣𝗜𝗠𝗢, 𝗨𝗦𝗛𝗔𝗨𝗥𝗜 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗧𝗜𝗕𝗔𝗕𝗨.