๐๐๐ฌ๐ ๐ฌ๐ ๐๐ก๐ ๐ก๐ ๐ ๐๐๐ข๐ก๐๐ช๐ - ๐๐๐๐๐ ๐๐จ๐๐จ๐ ๐ ๐ญ๐ ๐ ๐๐ง๐๐๐๐๐จ, ๐ฉ๐๐ฃ๐๐ ๐ข ๐ก๐ ๐๐๐๐ก๐๐ข ๐ฌ๐ ๐๐ข๐ ๐ ๐ฌ๐ ๐๐ก๐ ๐ ๐ก๐ ๐ (๐๐๐ฃ๐๐ง๐๐ง๐๐ฆ ๐ ๐ก๐ ๐)
Homa ya ini ya virus ni ugonjwa unaotokana na uwepo wa maambukizi ya virus vya hepatitisi, ni ugonjwa wa kuambukiza unaosababishwa na virusi kama vile virus vya hepatitis B au C vinavyoathiri ini, hivyo hepatitis ni aina ya homa ya ini.
Hepatitis B ni miongoni mwa virus hatari afya ya ini na mfumo wa chakula hepatitis B ni kimojawapo kati ya virusi vitano vinavyojulikana vya homa hiyo: A, B, C, D, na E.
Virusi hivyo pindi vinapo dumu kwa muda mlefu bila matibabu na uangalizi mkubwa wa kiafya, vinaweza kusababisha maambukizi makali kwa mgonjwa na kupelekea kuvimba kwa ini, kovu la ini yani (liver cirrhosis), Saratani ya ini (hepatocellular carcinoma) na kuferi kwa ini (liver failure).
๐๐๐๐๐๐ ๐ฌ๐ ๐ก๐๐๐ ๐ญ๐ ๐๐จ๐๐ ๐๐จ๐๐๐ญ๐ ๐ฉ๐๐ฅ๐จ๐ฆ ๐ฉ๐ฌ๐ ๐๐ข๐ ๐ ๐ฌ๐ ๐๐ก๐:
โ
Kushiliki ngono isiyo salama na mtu mwenye maambukizi ya virus vya homa ya ini
โ
Kuchangiwa damu isiyo salama yenye maambukizi ya virus vya homa ya ini (Hepatitis)
โ
Kuchangia vifaa vya ncha kali kama vile nyembe, kisu au sindao
โ
Kuvaliana nguo na mtu mwenye maambukizi ya virus vya homa ya ini.
โ
Virus vinaweza kusambaa kupitia jasho, mate na maji maji ya mwili kama manii na yale yatokayo ukeni
๐๐๐๐๐๐ ๐ฌ๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ง๐๐ฅ๐๐ฆ๐๐ ๐ญ๐ ๐๐ข๐ ๐ ๐ฌ๐ ๐๐ก๐ (๐๐๐ฃ๐๐ง๐๐ง๐๐ฆ)
โ
Maumivu ya tumbo yanayo kuja na kupotea upande wa kulia chini ya mbavu
โ
Hatari ya kupata vidonda sugu vya tumbo
โ
Tumbo kujaa gesi, kupoteza hamu ya kula na kuhisi kichefuchefu
โ
Kukojoa mkojo wa rangi ya njano iliyo kulea au kahawiya (mkojo wenye rangi kama soda ya Coca-Cola)
โ
Kupata manjano ya macho na ngozi
โ
Miguu kuvimba na kuhisi ganzi au kuuma
โ
Tumbo kuvimba kwaku kujaa maji (Ascites)
โ
Kupungukiwa na damu kutokana na kukosa kwa virutubisho muhimu mwilini
โ
Kukonda na ngozi kuwa hafifu yenye kutokwa na magamba meupe.
๐๐๐๐๐๐ ๐ฌ๐ ๐ ๐๐๐๐๐ฅ๐ ๐ฌ๐ ๐๐ข๐ ๐ ๐ฌ๐ ๐๐ก๐ ๐๐ฆ๐๐ฃ๐ข ๐ง๐๐๐๐ช๐ ๐ ๐๐ฃ๐๐ ๐:
โ
Kuvimba kwa ini (liver inflammation)
โ
Ini kupata kovu sugu hatarishi linalo ingilia kazi za ini (liver cirrhosis)
โ
Kupata saratani ya ini (Hepatocellular carcinoma)
โ
Kuferi kwa ini (Liver failure)
โ
Mgonjwa kupoteza maisha (Death)
๐ ๐๐ง๐๐๐๐๐จ ๐ฌ๐ ๐๐ข๐ ๐ ๐ฌ๐ ๐๐ก๐ ๐ฌ๐๐ก๐ฌ๐ ๐๐จ๐ฆ๐๐๐๐๐๐ฆ๐๐ช๐ ๐ก๐ ๐ฉ๐๐ฅ๐จ๐ฆ ๐ฉ๐ฌ๐ ๐๐๐ฃ๐๐ง๐๐ง๐๐ฆ
โ
Matibabu ya mapema ya homa ya ini sambamba na vipimo vinaposwa kuzingatia.
โ
Matumizi ya dwa salama za antivirus ya hbv kwaajili ya kuuwa virus walio katika mzunguko.
โ
Kurejesha seli kinga za ini zilizo kufa au kuchakaa
โ
Kutibu majerahaaa ya ini yaliyo achwa na maambukizi.
โ
Dawa salama za immunity, dawa za kupandisha kinga ya mwili kutoka CD4 hadi CD8 T-CELL.
โ
Dawa za kuzuiya kwa maambukizi kuambukiza wengine.
โ
Dawa za kulinda ini, kwakuondoa sumu, mabaki ya protini na asidi kwenye mfumo wa damu kama taka.
โ
Dawa zakuondoa makovu yani scar tissue zilizopo juu ya ini kutokana na uharibifu mkubwa wa seli na tishu za ini ulio sababishwa na virus wa hepatitis.
โ
Kuongeza hamu ya kula kwa mgonjwa, kuondoa uchovu na kichefuchefu
โ
Dawa za kuimarisha mfumo wa chakula na vimengโenya
โ
Kuzuiya na kuondoa hali ya tumbo kuhisi kujaa gesi
โ
Kulinda na kuimairisha afya ya figo na kibofu cha mkojo
โ
Kuzuiya manjano ya macho na ngozi pamoja na miwasho sugu ya ngozi
โ
Kurejesha mwonekano mnzuri wa ngozi pamoja na kuzuiya upotevu wa nywele kichwani.
๐ ๐จ๐๐ ๐ช๐ ๐๐จ๐ฆ๐๐๐๐๐๐ ๐ ๐๐ง๐๐๐๐๐จ ๐๐๐๐ ๐๐จ๐ฃ๐ข๐ก๐ ๐๐ช๐ ๐ ๐๐ข๐ก๐๐ช๐ ๐ช๐ ๐๐ข๐ ๐ ๐ฌ๐ ๐๐ก๐ ๐:
โ
Miezi miwili ya mwanzoni dawa hufanya kazi ya kushusha virus walio katika mzunguko.
โ
Mwezi mmoja hadi miwili mingine mgonjwa hutumia dawa za kudhibiti maambukizi kutokuzaliana tena pamoja na kuwaondoa katika mfumo wa seli kinga zao kwenye mfumo wa damu yani convalentry circular DNA (cccDNA)
โ
Kutibu majeraha ya ini na kurejesha afya ya ini kama ilivyo mwanzo kabla ya maambukizi.
โ
Kurejesha seli za ini zilizo kufa au kuchakaa
โ
Kudhibiti na kuondoa seli za kansa ya ini.
๐๐จ๐ ๐๐จ๐๐:- Muda wa kumaliza tatizo, inategemea na ukubwa wa tatizo au changamoto ilipo fikia, kama vile wingi wa maambukizi, afya ya mgonjwa kwa wakati uwo na afya ya ini kwa ujumla.
๐๐ก๐๐ฃ๐๐ก๐๐๐๐๐ญ๐ช๐:-
โ
Mgonjwa angalau audhulie dozi ya siku 90 hadi siku 180 yani miezi mitatu hadi miezi sita kumaliza tatizo kabisa, samba mba na vipimo vya mara kwa mara pindi anapo maliza dozi moja ili kutambua ufanisi wa dawa na usalama wa dawa kwa afya yake.
โ
Baada ya mgonjwa kuthibitisha kuisha kwa tatizo, mgonjwa anaweza kushauriwa kufikia huduma ya vipimo na dozi ya chanjo salama ya homa ya ini B.
๐๐จ๐ ๐๐จ๐๐:- Ni muhimu kufuatilia afya yako kwa kufanya vipimo vya mara kwa mara na kuyafikia matibabu ya mapema pale tatizo linapo bainika, kwani kila sekunde ni muhimu katika kuokoa maisha na kuepuka madhara ya kudumu.
๐ ๐๐๐๐๐ ๐ง๐จ๐๐๐ฃ๐ข: Hospitali, tunapatikana Dar es salaam Mbezi luis jirani na stendi kuu.
๐๐๐ฑ๐๐บ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐บ๐๐ผ๐ป๐ฎ ๐๐ฎ๐ธ๐๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐ป๐ฎ ๐๐๐ต๐ฎ๐๐ฟ๐ถ ๐ต๐๐๐ผ๐น๐ฒ๐๐ฎ ๐ฏ๐๐ฟ๐ฒ๐ฒ.
Unaweza kuwasiliana nasi kwakupiga simu au kutuma ujumbe mfupi wa maandishi kupitia WhatsApp: +255628361104 +255746484873
๐๐ฎ๐ฟ๐ถ๐ฏ๐ ๐๐๐ธ๐๐ต๐๐ฑ๐๐บ๐ถ๐ฒ ๐ธ๐๐ฎ ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ๐บ๐ผ๐๐ผ ๐๐ฎ ๐ฎ๐ณ๐๐ฎ ๐๐๐ป๐ฎ๐๐ผ๐ฎ ๐ต๐๐ฑ๐๐บ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ฉ๐๐ฃ๐๐ ๐ข, ๐ ๐๐ง๐๐๐๐๐จ, ๐๐๐๐ก๐๐ข ๐ก๐ ๐จ๐ฆ๐๐๐จ๐ฅ๐: