Tafuta

Appointiment


*

Matibabu ya homa ya ini (Hepatitis B na C) na magonjwa sugu ya ini


Matibabu ya mapema ya homa ya ini, huokoa maisha na ghalama. huleta unafuu wa haraka kwa mgonjwa na kupona haraka kwakuepuka madhara ya kudumu na kifo. Matibabu ya homa ya ini hufanyika na kutimia kutokana na hatua ya ugonjwa, afya ya mgonjwa na umakini wa mgonjwa au wauguzi katika kufuatilia dawa sambamba na vipimo.

𝗗𝗮𝘄𝗮 𝘇𝗶𝗻𝗮𝘇𝗼 𝘁𝘂𝗺𝗶𝗸𝗮 𝗸𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮 𝗸𝘂𝘁𝗶𝗯𝘂 𝗺𝗮𝗴𝗼𝗻𝗷𝘄𝗮 𝘀𝘂𝗴𝘂 𝘆𝗮 𝗶𝗻𝗶, 𝗸𝗮𝗺𝗮 𝘃𝗶𝗹𝗲 𝗛𝗲𝗽𝗮𝘁𝗶𝘁𝗶𝘀 𝗩𝗶𝗿𝘂𝘀, 𝗙𝗮𝘁𝘁𝘆 𝗟𝗶𝘃𝗲𝗿 𝗻𝗮 𝗔𝘂𝘁𝗼 𝗶𝗺𝗺𝘂𝗻𝗲 𝗟𝗶𝘃𝗲𝗿 𝗛𝗲𝗽𝗮𝘁𝗶𝘁𝗶𝘀 𝗸𝘂𝘁𝗼𝗸𝗮 𝗵𝗼𝘀𝗽𝗶𝘁𝗮𝗹𝗶 𝘆𝗮 𝗔𝗙𝗬𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗨:

- Polysaccharides

- Epivir-Hbv

- Antrodia

- Triterpenoids

- Direct-Acting

- NMN

- HBV-CURE


𝗕𝗔𝗔𝗗𝗛𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗔𝗭𝗜 𝗭𝗔 𝗗𝗔𝗪𝗔 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗞𝗨𝗧𝗜𝗕𝗨 𝗠𝗔𝗚𝗢𝗡𝗝𝗪𝗔 𝗦𝗨𝗚𝗨 𝗬𝗔 𝗜𝗡𝗜 (𝗛𝗘𝗣𝗔𝗧𝗜𝗧𝗜𝗦)


  • Dawa hufanya kazi ya kuondoa 𝗛𝗕𝗩 𝗗𝗡𝗔 (𝗖𝗼𝘃𝗮𝗹𝗲𝗻𝘁𝗹𝘆 𝗖𝗹𝗼𝘀𝗲𝗱 𝗖𝗶𝗿𝗰𝘂𝗹𝗮𝗿 𝗗𝗡𝗔 - 𝗰𝗰𝗰𝗗𝗡𝗔) hizi ni DNA za virus vya homa ya ini (𝗛𝗲𝗽𝗮𝘁𝗶𝘁𝗶𝘀 𝗕) kwenye seli za kinga


  • Kupandisha kinga ya mwili kwaajili ya  kushambulia na kuuwa virus na seli zenye maambukizi


  • Dawa hufanya kazi ya kulinda seli na tishi za ini kuharibika kutokana na minyoo kutaga mayai

 

  • Dawa zinafanya kazi ya kuuwa maambukizi ya virus vya hepatitis A, B, C, D au E

     

  • Dawa zinafanya kazi ya kuuwa minyoo na kuitoa nje kama taka mwili

     

  • Huzuia tumbo kuvimba na kujaa maji kutokana na cirrhosis ya ini

     

  • Dawa zinafanya kazi ya kupandisha kinga ya mwili

     

  • Kuondoa maumivi makali ya tumbo upande wa kulia na uchovu sugu

     

  • Dawa hufanya kazi ya kutibu majerahaa kwenye ini kama vile kuondoa uvimbe na makovu sugu

     

  • Dawa zinafanya kazi ya kuondoa shinikizo kwenye mishipa ya damu ya ini

     

  • Dawa zinafanya kazi ya kuondoa mafuta kwenye ini

     

  • Dawa zinafanya kazi ya kuondoa na kuzuia uvimbw wa ini

     

  • Dawa zinafanya kazi ya kuzuia uzalishwaji wa seli za saratani au kansa ya ini

     

  • Dawa hulinda afya ya ini na viungo vya karibu kama vile figo na nyongo

     

  • Dawa hufanya kazi ya kulinda na kutibu magonjwa ya mfumo wa chakula kama vile vidonda vya tumbo

     

  • Dawa zinazuia kuzidi kwa gesi tumboni pamoja na asidi reflux

     

  • Dawa huondoa hali ya vichomi sugu mwilini, ganzi na kupoteza hamu ya kula.
     

 


𝗩𝗜𝗣𝗜𝗠𝗢 𝗡𝗔 𝗗𝗔𝗪𝗔 𝗡𝗜 𝗧𝗔𝗙𝗦𝗜𝗥𝗜 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗧𝗜𝗕𝗔𝗕𝗨:

𝗧𝗨𝗠𝗜𝗔 𝗗𝗔𝗪𝗔 - 𝗧𝗜𝗕𝗨 𝗩𝗜𝗥𝗨𝗦 - 𝗢𝗞𝗢𝗔 𝗠𝗔𝗜𝗦𝗛𝗔

𝗠𝗔𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗕𝗜𝗟𝗔 𝗛𝗢𝗠𝗔 𝗬𝗔 𝗜𝗡𝗜 𝗜𝗡𝗔𝗪𝗘𝗭𝗘𝗞𝗔𝗡𝗔:

𝗖𝗛𝗨𝗞𝗨𝗔 𝗠𝗔𝗔𝗠𝗨𝗭𝗜 𝗠𝗔𝗣𝗘𝗠𝗔 𝗭𝗜𝗡𝗚𝗔𝗧𝗜𝗔 𝗔𝗟𝗔𝗠𝗔 𝗭𝗔 𝗡𝗬𝗔𝗞𝗔𝗧𝗜:

Taarifa zaidi

Karibu kwa huduma!