Tafuta

Appointiment


*

Visababishi na Madhara ya kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mlefu kwa mgonjwa wa homa ya ini


Choo kigumu au kukosa choo, ni tatizo la mtu au mgonjwa kukaa siku nyingi kama siku 2 tatu au hata wiki moja kupata choo au akipata choo basi choo iko kinakuwa kigumu (kuwa na wakati mgumu wa kutoa au kuanzisha kinyesi).

๐—ž๐—จ๐—ž๐—ข๐—ฆ๐—” ๐—–๐—›๐—ข๐—ข ๐—ž๐—ช๐—” ๐— ๐—จ๐——๐—” ๐— ๐—Ÿ๐—˜๐—™๐—จ, ๐—ž๐—จ๐—ฃ๐—”๐—ง๐—” ๐—–๐—›๐—ข๐—ข ๐—ž๐—œ๐—š๐—จ๐— ๐—จ ๐—ž๐—ช๐—” ๐— ๐—š๐—ข๐—ก๐—๐—ช๐—” ๐—ช๐—” ๐—œ๐—ก๐—œ:


Kukosa choo kwa muda mrefu na kupata choo kigumu (constipation) kwa mgonjwa wa ini ni hali inayoweza kuchangiwa na mambo kadhaa:

Baadhi ya Sababu zinazowezekana kama madhara yanayo sababishwa na hali ya kukosa choo kwa muda mlefu na kupata choo kigumu kwa mgonjwa wa ini :

 

๐Ÿญ. ๐— ๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ธ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐—ด๐—ผ๐—ป๐—ท๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ ๐—ถ๐—ป๐—ถ

Wagonjwa wa ini mara nyingi hupunguza baadhi ya vyakula (mfano mafuta mengi, chumvi na sukari), na kama mgonjwa atakuwa mvivu wa kutumia mboga za majani kwa wingi na matunda ya kutosha huathiri kinyesi na mfumo mnzima wa mmengโ€™enyo.

 

๐Ÿฎ. ๐— ๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐——๐—ฎ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐˜ƒ๐—ถ๐—น๐—ฒ ๐—ฃ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—ฐ๐—ฒ๐˜๐—ฎ๐—บ๐—ผ๐—น ๐—ฎ๐˜‚ ๐—ง๐—ฒ๐—ป๐—ผ๐—ณ๐—ผ๐˜ƒ๐—ถ๐—ฟ:

Baadhi ya dawa za kupunguza maumivu na kufubaza virus kwa matatizo ya ini au maumivu (mfano dawa zenye madini  chuma/iron, dawa za maumivu) husababisha choo kigumu.

 

๐Ÿฏ. ๐—จ๐—ฝ๐˜‚๐—ป๐—ด๐˜‚๐—ณ๐˜‚ ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐—บ๐˜„๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ป๐—ถ

Mgonjwa wa ini anaweza kuwekewa kizuizi cha kunywa maji mengi kutokana na uvimbe wa tumbo (ascites), hali hii huleta choo kigumu.

 

๐Ÿฐ. ๐—ž๐˜‚๐—ฝ๐˜‚๐—ป๐—ด๐˜‚๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐˜€๐—ต๐˜‚๐—ด๐—ต๐˜‚๐—น๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐˜†๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐—น๐—ถ๐˜ƒ๐—ฒ๐—ฟ ๐—บ๐—ฒ๐˜๐—ฎ๐—ฏ๐—ผ๐—น๐—ถ๐˜€๐—บ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐˜‚๐—ฝ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฒ๐—ป๐˜‡๐˜†๐—บ๐—ฒ๐˜€ ๐˜ƒ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ป๐—ดโ€™๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฎ.

Wagonjwa wengi hasa wenye tatizo hili kwa miaka mingi, huanza kupata magonjwa ya tumbo kama vile tumbo kujaa gesi na kuhisi hali ya kushiba shiba muda wote, hupelekea mgonjwa wa ink kupumzika sana, hivyo matumbo husogea taratibu.

 

๐Ÿฑ. ๐—”๐˜๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ ๐˜‚๐—ด๐—ผ๐—ป๐—ท๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ๐˜„๐—ฒ:

Ini likiwa na shida, mfumo wa mmengโ€™enyo na homoni zinazosaidia usafishaji wa chakula zinaweza kuathirika.

 



๐— ๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ฐ๐—ต๐—ผ๐—ผ ๐—ธ๐—ถ๐—ด๐˜‚๐—บ๐˜‚ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐—ด๐—ผ๐—ป๐—ท๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ ๐—ถ๐—ป๐—ถ:


  • Inaongeza shinikizo tumboni, hali inayoweza kuchochea maumivu ya upande wa kulia.

     

  • Inaweza kuchochea encephalopathy ya ini (sumu ya ammonia kuongezeka mwilini) kwa sababu taka hazitoki vizuri.

     

  • Huchangia vidonda au kupata bawasiri.


๐— ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜€๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ถ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐˜‚๐—ป๐—ด๐˜‚๐˜‡๐—ฎ ๐—ต๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐—ต๐—ถ๐˜‡๐—ถ ๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ถ๐—ฏ๐˜‚:

 

  • Kama ni mgonjwa wa inj, fikia huduma za matibabu ya homa ya ini.

     

  • Kula mboga za majani na matunda yenye nyuzi (fiber) laini kama papai, parachichi, ndizi zilizoiva, boga.

     

  • Kutumia nafaka zisizokobolewa (uji wa shayiri, nafaka nzima).

     

  • Kunywa maji kwa kiwango kinachoruhusiwa na daktari wako (kwa kuwa wagonjwa wa ini wengine wana kizuizi cha maji).

     

  • Kutembea au kufanya mazoezi mepesi kadri ya uwezo.

     

  • Kuuliza kwa daktari kuhusu dawa za kusaidia kulainisha choo (laxatives salama kwa wagonjwa wa ini, kama lactulose).

 


๐— ๐—ฃ๐—”๐—ก๐—š๐—ข ๐— ๐—”๐—”๐—Ÿ๐—จ๐—  ๐—ช๐—” ๐—ฉ๐—œ๐—ก๐—ฌ๐—ช๐—”๐—๐—œ ๐—ก๐—” ๐—Ÿ๐—œ๐—ฆ๐—›๐—˜ ๐—ฉ๐—œ๐—ก๐—”๐—ฉ๐—ฌ๐—ข๐—ช๐—˜๐—ญ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ฆ๐—”๐—œ๐——๐—œ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ฃ๐—จ๐—ก๐—š๐—จ๐—ญ๐—” ๐—›๐—”๐—Ÿ๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ฃ๐—”๐—ง๐—” ๐—–๐—›๐—ข๐—ข ๐—ž๐—œ๐—š๐—จ๐— ๐—จ ๐—”๐—จ ๐—ž๐—จ๐—ž๐—ข๐—ฆ๐—” ๐—–๐—›๐—ข๐—ข ๐—ž๐—ช๐—” ๐— ๐—š๐—ข๐—ก๐—๐—ช๐—” ๐—ช๐—” ๐—›๐—ข๐— ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—œ๐—ก๐—œ:


Hapa kuna mpango maalum wa vyakula na vinywaji vinavyoweza kusaidia mgonjwa wa ini kupunguza tatizo la choo kigumu, ukiwa umezingatia kwamba wagonjwa wa ini mara nyingi wanahitaji ulaji bora na usio mzito kwa ini:


๐— ๐—Ÿ๐—ข ๐— ๐—ก๐—ญ๐—จ๐—ฅ๐—œ ๐—ช๐—” ๐—”๐—ฆ๐—จ๐—•๐—จ๐—œ ๐—ž๐—ช๐—” ๐— ๐—š๐—ข๐—ก๐—๐—ช๐—” ๐—ช๐—” ๐—œ๐—ก๐—œ:

 

  • Uji wa shayiri (oats) au ulezi, bila sukari nyingi.

     

  • Parachichi lililoiva au kipande kimoja cha ndizi iliyoiva (kwa umuhimu wa kupata nyuzi nyuzi na madini ya potasiamu).

     

  • Kikombe cha chai ya kienyeji (kama mchaichai au tangawizi kidogo โ€“ ikiwa haileti kiungulia).

 

๐— ๐—Ÿ๐—ข ๐— ๐—ก๐—ญ๐—จ๐—ฅ๐—œ ๐—ช๐—” ๐— ๐—–๐—›๐—”๐—ก๐—” ๐—ž๐—ช๐—” ๐— ๐—š๐—ข๐—ก๐—๐—ช๐—” ๐—ช๐—” ๐—œ๐—ก๐—œ:

 

  • Wali wa kahawia (brown rice) au ugali wa dona (una nyuzi nyingi).

     

  • Mboga za majani zilizopikwa kwa mvuke au kuchemshwa: matembele, mchicha, spinach, brokoli.

     

  • Maharage mekundu/soya/lentils (chanzo cha protini na nyuzi).

     

  • Kipande kidogo cha samaki wa kuchemsha au kuoka.

 

๐ŸŽ ๐—ฉ๐—œ๐—ง๐—”๐—™๐—จ๐—ก๐—ช๐—” (๐—ฆ๐—ป๐—ฎ๐—ฐ๐—ธ๐˜€)

 

  • Papai lililoiva (linasaidia sana kulainisha choo).

     

  • Embe au matunda yenye nyuzi laini.

     

  • Karanga au lozi kwa kiasi kidogo (healthy fats na fiber).

 

๐— ๐—Ÿ๐—ข ๐— ๐—ก๐—ญ๐—จ๐—ฅ๐—œ ๐—ช๐—” ๐—๐—œ๐—ข๐—ก๐—œ ๐—ž๐—ช๐—” ๐— ๐—š๐—ข๐—ก๐—๐—ช๐—” ๐—ช๐—” ๐—œ๐—ก๐—œ:

 

  • Viazi vitamu vilivyochemshwa/kuokwa.

     

  • Mboga za kuchemshwa: kabichi, sukuma wiki, bamia (bamia husaidia kulainisha choo).

     

  • Supu nyepesi ya mboga au dengu.

 

๐—ฉ๐—œ๐—ก๐—ฌ๐—ช๐—”๐—๐—œ ๐—ฅ๐—”๐—™๐—œ๐—ž๐—œ ๐—ž๐—ช๐—” ๐—”๐—™๐—ฌ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—œ๐—ก๐—œ ๐—ก๐—” ๐— ๐—™๐—จ๐— ๐—ข ๐—ช๐—” ๐—–๐—›๐—”๐—ž๐—จ๐—Ÿ๐—”:

 

  • Maji safi na salama kulingana na kiwango kilichoelekezwa na daktari (kawaida wagonjwa wa ini wenye uvimbe hupangiwa kikomo cha maji, mfano si zaidi ya lita 1โ€“1.5 kwa siku).

     

  • Juisi asilia isiyo na sukari nyingi, mfano juisi ya papai, juisi ya tikiti maji kwa kiasi.

     

  • Epuka soda, vinywaji vyenye kafeini nyingi, na vileo kabisa.

 

๐—•๐—”๐—”๐——๐—›๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ฉ๐—ฌ๐—”๐—ž๐—จ๐—Ÿ๐—” ๐—ฉ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—จ๐—˜๐—ฃ๐—จ๐—ž๐—ช๐—” ๐—ž๐—ช๐—” ๐— ๐—š๐—ข๐—ก๐—๐—ช๐—” ๐—ช๐—” ๐—œ๐—ก๐—œ:

 

  • Vyakula vya kukaanga na mafuta mengi, kama Sambusa, Vitumbua, Keki, maandazi, samaki na kuku wa kukaanga pamoja na chips.

     

  • Nyama nyekundu nzito (inaweza kumchosha mgonjwa wa ini).

     

  • Sukari nyingi na vyakula vilivyosindikwa.

     

  • Chakula chenye pilipili nyingi au viungo vizito (huchochea asidi).

     

  • Ndizi mbichi na ndizi ngumu (zinaweza kufanya choo kigumu zaidi).

 

๐—ง๐—จ๐— ๐—œ๐—” ๐—ฉ๐—œ๐——๐—ข๐—ž๐—˜๐—ญ๐—ข ๐—›๐—œ๐—ฉ๐—œ ๐—ฉ๐—ฌ๐—” ๐—ญ๐—œ๐—”๐——๐—”:

 

  • Tumia lactulose ikiwa daktari ameagiza โ€“ husaidia kulainisha choo na kupunguza sumu ya ammonia.

     

  • Kuwa na ratiba ya kula mara ndogo ndogo (mil 4โ€“5 kwa siku badala ya mil 2 mikubwa).

     

  • Kutembea taratibu kila siku (hata dakika 15) kunasaidia harakati za utumbo.

 

๐—ž๐—จ๐— ๐—•๐—จ๐—ž๐—”:-  Ni muhimu kufuatilia afya yako kwa kufanya vipimo vya mara kwa mara na kuyafikia matibabu ya mapema pale tatizo linapo bainika, kwani kila sekunde ni muhimu katika kuokoa maisha na kuepuka madhara ya kudumu.


๐—ž๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐˜๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐—ต๐˜‚๐—ฑ๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฒ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—บ๐—ผ๐˜๐—ผ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ฎ๐—ณ๐˜†๐—ฎ ๐˜๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜๐—ผ๐—ฎ ๐—ต๐˜‚๐—ฑ๐˜‚๐—บ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฉ๐—œ๐—ฃ๐—œ๐— ๐—ข, ๐—จ๐—ฆ๐—›๐—”๐—จ๐—ฅ๐—œ ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—ง๐—œ๐—•๐—”๐—•๐—จ.

Taarifa zaidi

Karibu kwa huduma!