Search

Jisajiri - Weka appointiment


Jaza form hii kutengeneza account yako na kuweka appointiment yako.


Upungufu wa nguvu za kiume, chanzo, dalili na matibabu


Matatizo ya upungufu za nguvu za kiume, husababishwa na mambo mengi kama vile kujichua, unywaji pombe, uvutaji sigara, na magonjwa ya ndani kama kisukari, ini, figo, nyongo na tezi dume.

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME, DALILI CHANZO NA MATIBABU


Nguvu za kiume siyo tu uwezo wa mwanaume kushiriki tendo la ndoa, bali huashiria afya yake ya jumla, hali ya kujiamini, na furaha katika mahusiano ya kimapenzi.

Hata hivyo, wanaume wengi hupitia hali ya kupungua kwa nguvu za kiume kwa muda mrefu bila kuelewa chanzo, suluhisho, wala hatua sahihi za kuchukua.

 

VISABABISHI VYA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

 

  • Kujichua yani masterbeshen

 

  • Magonjwa ya ndani kama vile ugonjwa wa kisukari na ini

 

  • Tezi dume

 

  • Presha na ugonjwa sugu wa figo

     

  • Ugonjwa wa mapafu

     

  • Gynecomastia kwa wanaume

 

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME LINAVYO WAUMIZA WANAUME WENGI KIMYA KIMYA

 

Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ambapo mwanaume anashindwa kusimamisha au kudumisha uume wake kuwa mgumu vya kutosha kwa tendo la ndoa.

 

Hali hii inaweza kusababishwa na matatizo ya kiafya kama vile kisukari, shinikizo la damu, magonjwa ya moyo, ini, figo na kisukari au matatizo ya kisaikolojia kama msongo wa mawazo na wasiwasi.

 

Licha ya kuwa ni tatizo linalowakumba wanaume wengi, bado kuna hofu na aibu kubwa inayowafanya wasitafute msaada mapema.

 

BAADHI YA DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

 

  • kushindwa kuhimili tendo kwa muda mlefuu japo dakika 20 au 25

     

  • Kushindwa kusimamisha uume kabisa

     

  • Uume kusimama kwa muda mfupi au kutodumu wakati wa tendo

     

  • Kupoteza hamu ya kufanya tendo la ndoa


Pamoja na dalili hizo, wengi hushindwa kutambua kiwango cha tatizo lao kwa njia ya kitaalamu. Hapa ndipo kipimo cha IIEF-5 (Sexual Health Inventory for Men) kinapotoa suluhisho bora.

 

IIEF-5 ni kipimo rasmi na rahisi chenye maswali matano, kinachotumiwa kimataifa kupima hali ya nguvu za kiume kwa mwanaume. Kinajumuisha tathmini ya:


  • Uwezo wa kusimamisha uume

     

  • Kudumisha msimamo wakati wa tendo

     

  • Kuridhika na uwezo wa kimapenzi

 

Kwa kujaza kipimo hiki mwenyewe kwa usiri, mwanaume anaweza kujua ikiwa ana kiwango kidogo, cha kati, au kikubwa cha upungufu wa nguvu za kiume.

 

Wanaume wengi hutumia dawa za kuongeza nguvu bila kujua kiini cha tatizo. Wengine huanza kuamini kuwa tatizo lao haliwezi kutibika. Hali hii huchelewesha tiba sahihi na wakati mwingine huongeza matatizo.

 

Kila mwanaume anahitaji:

 

  • Ubinafsi na usiri ya kujipima nguvu za kiume

     

  • Maarifa ya kutofautisha hali ya kawaida na inayohitaji matibabu

     

  • Msingi wa kufanya uamuzi sahihi kuhusu matibabu au ushauri

 

JE NGUVU ZA KIUME ZINAWEZA KURUDI?

 

  • Habari njema ni kwamba, kwa asilimia kubwa ya wanaume, tatizo la upungufu wa nguvu za kiume linaweza kutibika.

 

  • Mabadiliko ya mtindo wa maisha kama mazoezi, lishe bora, kupunguza msongo wa mawazo, pamoja na tiba za kitabibu zilizothibitishwa, huweza kusaidia kurejesha nguvu na uwezo wa mwanaume.

 

  • Kuanza na kipimo cha IIEF-5 ni hatua ya kwanza muhimu kuelekea tiba bora. Kwa kutumia matokeo ya kipimo hicho, unaweza kuelekezwa kwa mtaalamu au kupata ushauri sahihi unaolingana na hali yako.

 

USIKAE KIMYA CHUKUA HATUA LEO - FIKIA HUDUMA YA MATIBABU NA USHAURI

 

Fika kituoni au agiza dawa kwa matibabu ya mapema na kuokoa ndoa - wasiliana nasi kwakupiga simu au kutuma ujumbe mfupi wa maandishi kupitia WhatsApp +255628361104  +255746484873

 

𝗞𝗨𝗠𝗕𝗨𝗞𝗔:-  Ni muhimu kufuatilia afya yako kwa kufanya vipimo vya mara kwa mara na kuyafikia matibabu ya mapema pale tatizo linapo bainika, kwani kila sekunde ni muhimu katika kuokoa maisha na kuepuka madhara ya kudumu.


𝗞𝗮𝗿𝗶𝗯𝘂 𝘁𝘂𝗸𝘂𝗵𝘂𝗱𝘂𝗺𝗶𝗲 𝗸𝘄𝗮 𝗰𝗵𝗮𝗻𝗴𝗮𝗺𝗼𝘁𝗼 𝘇𝗮 𝗮𝗳𝘆𝗮 𝘁𝘂𝗻𝗮𝘁𝗼𝗮 𝗵𝘂𝗱𝘂𝗺𝗮 𝘆𝗮 𝗩𝗜𝗣𝗜𝗠𝗢, 𝗨𝗦𝗛𝗔𝗨𝗥𝗜 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗧𝗜𝗕𝗔𝗕𝗨.

Taarifa zaidi

Karibu kwa huduma!