Afya ya mmeng'enyo wa chakula na magonjwa hatarishi
Hatua au matokeo ya mwisho ya ugonjwa wowote ni kansa au saratani kama vile kansa ya mapafu, kansa ya utumbo, kansa ya bandama, kansa ya shingo ya kizazi, kansa ya ini na figo, kansa ya kongosho na koo.
𝗔𝗜𝗡𝗔 𝗞𝗨𝗨 𝗠𝗕𝗜𝗟𝗜 𝗭𝗔 𝗗𝗔𝗟𝗜𝗟𝗜 𝗭𝗔 𝗨𝗚𝗢𝗡𝗝𝗪𝗔 𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗞𝗨𝗛𝗔𝗧𝗔𝗥𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗠𝗙𝗨𝗠𝗢 𝗪𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗞𝗨𝗟𝗔 𝗡𝗔 𝗨𝗣𝗨𝗠𝗨𝗔𝗝𝗜 𝗞𝗔𝗠𝗔 𝗩𝗜𝗟𝗘 𝗜𝗡𝗜 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗣𝗔𝗙𝗨.
Kila ugonjwa hupitia hatua kuu nne hadi tano kufikia hatua ya kansa yani saratani na kiungo husika kuferi au kuacha kufanya kazi.
Hatua hizi zisipo dhibitiwa au kutibiwa husababisha madhara makubwa na ya kudumu ya kwa mwasilika.
Kila hatua huja na dalili mbali mbali zinazo ashilia uwendelevu wa tatizo fulani kama changamoto za kiafya mwilini.
Kuna aina kuu mbili za dalili ikiwa kuna hatua kuu nne hadi tano za maendeleo ya ugonjwa husika.
Kuna dalili za muda mfupi yani acute symptoms zinazo kuja na kupotea na dalili za muda mlefu na za kudumu yani chronic symptoms.
Zifuatano ni baadhi ya dalili za muda mfupi zinazo kuja na kupotea ambazo zinashilia hatua za mwanzoni za ugonjwa fulani, dalili hizi zipo patiwa vipimo na matibabu ya mapema ndio chimbuko za dalili za muda mlefu na za kudumu yani chronic symptoms.
- Kubana kwa kifua na kikohozi kikavu.
- Kuhisi kichefuchefu na kuna muda mgonjwa kutapika.
- Kukojoa mkojo wa njano iliyo kolea sana.
- Kuharisha na kuvimbiwa au tumbo kujaa gesi.
- Kukojoa mara kwa mara na mkojo kuto kuisha vizuri.
- Maumivu ya kibofu yanayo kuja na kupotea.
- Miwasho ya ngozi na vipele vidogo vidogo au hata majipu.
- Maumivu ya tumbo, linaweza kuuma tumbo lote au upande mmoja wa tumbo kama vile upande wa kulia au upande wa kushoto.
- Kupoteza hisia za kushiliki tendo la ndoa kwa mwanaume au hata mwanamke.
- Mwili kukosa nguvu na uchovu wa mara kwa mara.
- Maumivu ya viungo na misuli kukaza.
- Kuhisi ganzi na miguu kuwaka moto.
- Macho kuwasha na kutokwa na machovu, macho kuwa mekundu.
Hizo ni baadhi ya dalili za muda mfupi ambazo kwa wagonjwa wengi hupuuzia na kuamini kwamba wenda zitaisha zenyewe na maisha kuendelea na ndivyo inavyo kuwa ivyo.
𝗛𝗜𝗭𝗜 𝗡𝗜 𝗕𝗔𝗔𝗗𝗛𝗜 𝗬𝗔 𝗗𝗔𝗟𝗜𝗟𝗜 𝗭𝗔 𝗠𝗨𝗗𝗔 𝗠𝗟𝗘𝗙𝗨 𝗡𝗔 𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗗𝗨𝗠𝗨:
Ugonjwa wowote unapo dumu kwa muda mlefu bila kutibiwa huleta athari kubwa sana katika viungo vya ndani, athari hizi huja na dalili mbali mbali za wazi wazi.
- Kutapika damu au kutoa kikohozi kilicho changanika na damu.
- Vidonda sugu vya tumbo na tumbo kujaa gesi mara kwa mara na kuwa gumu kama mpira.
- Kukojoa mkojo wa kahawia au mkojo wa giza.
- Kibofu kutanuka na kuuma.
- Maumivu makali ya tumbo ya mara kwa mara, maumivu aya yanaweza kuwa tumbo lote au upande mmoja wa tumbo kutokana na changamoto ilipo.
- Miguu kuvimba, ganzi na kuwaka moto, hali hii husababishwa na mwili kushindwa kubalance viwango vya maji maeneo ya chini katika mishipa ya damu.
- Tumbo kujaa maji, tumbo kuvimba.
- Kichefuchefu kisicho isha, kupoteza hamu ya kula na kuhisi kuchanganyikiwa.
- Kupoteza kumbu kumbu, maumivu makali ya kichwa.
- Uwepo wa asidi nyingi mwilini hadi kuchochea vichomi vya mara kwa mara.
- Kudondoka dondoka, kupata dege dege.
- Kupooza kwa baadhi ya viungo kama vile upande mmoja wa mwili.
- Macho kupoteza nuru, maumivu ya nyonga, magoti na pingili za mgongo au shingo.
Hizo ndio dalili za kudumu na hatarishi ambzo zilishindikana kutibiwa au kudhibitiwa tangia awali ikiwa ugonjwa bado mchanga.
Matibabu ya magonjwa sugu, huchukua muda mlefu hadi tatizo kuisha kutokana na uwepo wa tatizo ilo kwa muda mlefu au matumizi makubwa ya dawa za antibacterial au antivirus za kufubaza hali ambayo upelekea vimelea kuwa sugu na baadhi ya viungo kuleta uchochezi mkubwa wa kuvimba au kutanuka.
𝗞𝗨𝗠𝗕𝗨𝗞𝗔:- Ni muhimu kufuatilia afya yako kwa kufanya vipimo vya mara kwa mara na kuyafikia matibabu ya mapema pale tatizo linapo bainika, kwani kila sekunde ni muhimu katika kuokoa maisha na kuepuka madhara ya kudumu.
𝗞𝗮𝗿𝗶𝗯𝘂 𝘁𝘂𝗸𝘂𝗵𝘂𝗱𝘂𝗺𝗶𝗲 𝗸𝘄𝗮 𝗰𝗵𝗮𝗻𝗴𝗮𝗺𝗼𝘁𝗼 𝘇𝗮 𝗮𝗳𝘆𝗮 𝘁𝘂𝗻𝗮𝘁𝗼𝗮 𝗵𝘂𝗱𝘂𝗺𝗮 𝘆𝗮 𝗩𝗜𝗣𝗜𝗠𝗢, 𝗨𝗦𝗛𝗔𝗨𝗥𝗜 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗧𝗜𝗕𝗔𝗕𝗨.